Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Korea, Mhe.  Togolani Edriss Mavura leo  amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Moon Jae-In , katika Ikulu ya Korea maarufu kama Jumba la Bluu ( Blue House).

토골라니 애드리스 마부라 탄자니아 대사는 양국은 올해 수교 30주년으로, 개도국에서 선진국으로 발전한 한국과의 협력이 강화되기를 희망한다고 말했습니다.