H.E. Amb. Togolani Edriss Mavura handing over his Credentials to H.E. President Moon Jae-in, President of the Republic of Korea

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Korea, Mhe. Togolani Edriss Mavura leo amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Moon Jae-In , katika Ikulu ya Korea maarufu kama Jumba la Bluu ( Blue House).

토골라니 애드리스 마부라 탄자니아 대사는 양국은 올해 수교 30주년으로, 개도국에서 선진국으로 발전한 한국과의 협력이 강화되기를 희망한다고 말했습니다.